<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>32</hymn_number>
<lyrics>[V1]
 Yesu anawaita,
 Wakosa, wahalifu,
 Wambieni wa mbali
 Habari ya wokovu.

[V2]
 Tangazeni kwa bidii,
 Hupokea wakosa!'
 Liwe neno dhahiri,
 Hupokea wakosa!'

[V3]
 Anawaita Bwana
 Neno lake amini
 Watu kila aina
 Waje kwake tengoni.

[V4]
 Mimi ni safi moyo
 Na mbele ya sharia,
 Aliye safi roho
 Kwake ilitimia.

[V5]
 Apokea wakosa;
 Nami anikubali;
 Alivyonitakasa
 Mbinguni niwasili.</lyrics>
<title>Yesu Awakubali Wakosa TZR32</title>
</song>